Dereva Mwenye madaraja ya C1, C2, C3 (9)

at Mettal Logical Enterprises
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted November 26, 2021
Category Driver
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Kampuni inahitaji madereva wenye uzoefu ili tuweze kufanya nao wenye sifa zifuatazo

  • Uzoefu
  • Wasio na rekodi za uhalifu

Vinavyohitajika
Picha yako
Leseni ya madaraja C1, C2, C3
Kitambulisho cha mpiga kura/ Nida ama cheti cha kuzaliwa, kimojawapo kati ya tajwa hapo

Angalizo : Asiwe amewahi kufanya kazi ya taxi mtandao.
Karibu dirisha lipo wazi tuma CV ambatanisha na vinavyohitajika hapo juu kisha tuma kwenda mumagwa@gmail.com. tuma mara moja tu.
DALILI ZOZOTE ZA RUSHWA USISITE KUTOA TAARIFA KWENYE NAMBA YETU HAPO JUU (taarifa ni siri na haiwi kigezo cha kukosa kazi ikiwa unafikia matakwa yetu tajwa hapo Juu)