Data Clerks (9)

at Itilima District Council
Location Itilima, Tanzania, United Republic of
Date Posted October 5, 2020
Category Data Entry
IT / Information Technology
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ofisi Ya Rais
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Wilaya Ya Itilima
24.09.2020.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Itilima anawatangazia nafasi za kazi wote wenye Taaluma na ambao wako tayari kufanya kazi za DATA CLERK, TABIBU na MUUGUZI (EN) katika vituo vya kutolea huduma za Afya vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima: .

Vigezo na Masharti ya waombaji:
• Awe raia wa Tanzania
• Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, Nakala ya cheti cha
• kidato cha nne/sita, Maelezo binafsi (CV), picha (passport size mbili) za hivi karibuni isipokuwa kwa wakiri tiba.
• Vyeti vyote vya Taaluma na kidato cha nne/sita ni lazima vithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serikali isipokuwa kwa wakiri liba
• Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu, maombi yake hayatashughulikiwa

SIFAza Mwombaji:
• Awe na Cheti/Astashahada katika fani zifuatazo: Technolojia ya HabariTakwimu, Utunzaji kumbukumbu, na kutunza kumbukumbu za kiafya.
• Awe na uzoefu wa kuanzia mwaka 1 - 3 katika kazi za utabibu,uuguzi au ukiri tiba (lay counsellor).
• Awe na uzoefu katika utunzaji wa takwimuldata za Afya.
• Awe na uzoefu katika kutumia DHIS 2, MS Excel, MS Access, Epi- info, SPSS kama SIFAya ziada.

NB. SIFA za wakiri.fiba pi, awe raia wa Tanzania, awe anajua kusoma na kuandika, awe ame shapata mafunzo ya huduma za CTC.Aidha masharti mengine yatabaki kama yalivyo hapo juu..

Applying Instructions

Muda wa mkataba: Miezi kumi na mbili (12) Mishahara italipwa kwa ufadhili wa shirika la Amref Tanzania katika kutekeleza Mradi wa Afya kamilifu.
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta, maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 07/10/2020.

Barua zitumwe kwa njia ya Posta kupitia anuani ifuatayo: Mkurugenzi Mtendaji (W)
S.L.P. 308.
ITILIMA
Limetolewa na