Consultant

at Allegiance Manpower
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted April 30, 2021
Category Consultancy
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

We are Allegiance Manpower, hudma zetu ni;

  • Tunaandika CV bora kabisa ambayo itaweza kupass katika mfumo wa ATS.
  • Tunakutanisha wanaotafuta kazi na waajiri
  • Tunatoa huduma za mafunzo jinsi ya kujiandaa na interview (Tricks and Q&A)
  • Tunatoa huduma ya kutafuta wafanyakazi yaani recruiting agency
  • Pia tunatoa huduma za vibarua
  • Tunatoa huduma za staffing payroll and staff management

Fika Makukumbusho Derm Plaza Floor ya 11 au tupigie kwa ajili ya maelezo na pia kufanya booking.