Cleaner/Mfanyausafi (2)

at Woodberry Cafe Ltd
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 26, 2021
Category Cleaning
Skilled Labour
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Wajibu Wako
•Hakikisha chooni kwa wageni ni kusafi mda wote wa kazi
•Hakikisha sakafu jikoni kwa mpishi ni kusafi mda wote
•Hakikisha sakafu bakery ni kusafi mda wote
•Hakikisha sakafu jikoni kwa barista ni kusafi mda wote
•Kusafisha maeneo ya ofisi kila siku
•Kusafisha maeneo ya kutoa huduma na maeneo ya kukaa
•Kujaza vifaa chooni, mfano toilet paper, sabuni ya kunawa mikono, tishu.
•Kuagiza vifaa vipya vya kusafisha vinapohitajika
•Majukumu mengine yoyote utakayopewa na meneja

Sifa
•Hakikisha unaumri wa miaka 18 na kuendelea
•Hakikisha unajua kusoma na kuandika
•Hakikisha unauzoefu usiopungua mwaka mmoja katika kazi za usafi