Bar Counter Attendant

at New Calabash Bar
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 11, 2021
Category Hospitality
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Bar mpya ya Calabash inategemea kuzinduliwa mapema mwezi July Mikocheni kwa Nyerere! Ni bar ya kisasa kabisa! Anahitajika Muhudumu wa Counter mwenye uzoefu usiopungua mwaka mmoja, mchapakazi na mwenyekujituma! Mwenye elimu ya kuanzia kidato Cha nne na kuendelea! Awe pia na uwezo wa kuongea kiingereza .
Piga no O629 963 085 kwa kupangiwa tarehe ya interview! Kumbuka, CV, Nakala za vyeti vitahitajika.