Banc assurance Sales Executives (50)

at Sanlam Life Insurance
Location Dar es salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted March 19, 2020
Category Insurance
Sales and Marketing
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB DETAILS:
Sanlam Life Insurance(T) Ltd, kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa huduma za bima za maisha (Life Insurance) inatangaza nafasi (50) za kazi za Afisa Mauzo (Bancassurance Sales Executives) katika kitengo cha mauzo kwenye matawi yake ya Dar-es-Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na Zanzibar. .

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified

Sifa za mwombaji:
• Cheti cha kidato cha nne au cha sita
• Cheti au stashahada au shadada ya bima,utawala wa biashara, masoko, mauzo au mafunzo mbadala.
• Cheti cha bima (COP) kinapendelewa
• Awe na ari ya kupata kipato kikubwa kwa kufanya mauzo mengi.
• Uzoefu wa kuuza huduma za bima au huduma za kifedha nyinginezo unahitajika.
• Utayari wa kutoa huduma kwa wateja popote pale walipo utazingatiwa.
• Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiswahili na Kiingeza fasaha
• Awe na uwezo kufanya hesabu za kujumlisha kwa usahihi.
• Awe na uwezo wa kushawishi na kujenga mahusiano
• Awe tayari kufanya kazi kwenye tawi lililopo mbali na makazi yake ikibidi.

Applying Instructions

Kama una sifa hizo hapo juu tuma maombi yako au leta kwa mkono kwa:
Meneia, Utumishi na Utawala,
Sanlam Life Insurance (T) Ltd,
P.o box 22229
Mtaa wa Ohio, Jengo la Amani Place Ghorofa ya 9,
Dar-es-Salaam.

Baruapepe: recruitment@sanlamlifeinsurance.co.tz 

Au piga simu namba (022-2127151-4) kwa maelezo zaidi. Maombi yapokelewe kabla ya tarehe 28/03/2020