Air Conditioning Technician

at Nungwi Beach Resort By Turaco
Location Zanzibar, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 10, 2024
Category Engineering
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

About the job

MAELEZO YA WAJIBU WA FUNDI KIYOYOZI (AIR CONDITIONS)

Ni kazi ya kudumu (Full-time) ya fundi kiyoyozi (Air condition) katika hotel ya Nungwi beach Resort by Turaco. Fundi kiyoyozi ambaye atawajibika na matengenezo endapo AC itaharibika, kupachika Ac mpya, kutengeneza mifumo yote ya kiyoyozi (Air Condition) katika taasisi. Pia fundi wa kiyoyozi (Air condition) awe na utaalamu wa kutambua na kutatua masuala yote yenye kuhusiana na kiyoyozi (Air Condition) na awe mbunifu wa kutatua matitizo yote ya kiyoyozi (Air condition).

 

SIFA ZA MUOMBAJI

- Awe na uzoefu wa kazi ya ufundi kiyoyozi (Air condition) na ujuzi bora wa mifumo na vifaa vya Air condition.

- Uwezo wa kutatua matatizo na kutambua matatizo katika mifumo ya kiyoyozi (Air condition)

- Ujuzi uliomakinika katika vifaa vya umeme (electronics, mechanical and electrical)

- Uwezo wa kusoma, kutafsiri ramani na vipimo vya kiufundi

- Uwezo wa kimawasiliana na huduma bora kwa wateja

- Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea bila usimamizi wa kiongozi au kwa usimamizi mdogo wa kiongozi

- Uwezo wa kufanyakazi kwenye eneo ambalo liko bize na mazingira yenye kuhitaji nguvu.

Drop files here browse files ...