AFISA UTAMADUNI II (13)

at MDAs & LGAs
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted April 21, 2023
Category Government
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Kutafiti masuala ya Lugha, Sanaa, Mila na Desturi katika ngazi ya Wilaya;

ii.Kufundisha fani mbalimbali za utamaduni katika Vyuo na Vituo vya Elimu na mafunzo ya utamaduni;

iii.Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa kituo.

QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye shahada au stashahada ya juu katika Sanaa au Lugha kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali
REMUNERATIONTGS.D