Record Assistants Grade II (5)

at Mwanga District Council
Location Mwanga, Tanzania, United Republic of
Date Posted July 20, 2024
Category Government
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
  5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

 

REMUNERATIONTGS C
Drop files here browse files ...