Plumber
Location | Zanzibar, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | March 24, 2024 |
Category | Engineering Plumbing |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
About the job
Fundi bomba ambaye atawajibika na kuweka vifaa vipya, kutengeneza na kukarabati mifumo ya bomba(maji moto), kutengeneza viyoyozi (AC) ili kutoa huduma nzuri kwa wageni na wafanyakazi
Je nitajishughulisha na kitu gani?
kufanya kazi zifuatazo kwa viwango vya juu
- vifaa kama vile vyoo, mabeseni na mabafu
- kuweka na kutengeneza mfumo wa maji moto
- kutengeneza vifaa vya nyumbani
- kuweka na kutengeneza viyoyozi (AC
- mawasiliano na makandarasi na kusadia matengenezo ya bafu
- matengenezo ya dharula yatakapohitajika ndani ya hotel
- kukagua kila mara mifumo ya maji hotelini
- kutambua, kutunza, na kutengeneza mifumo ya maji ndani ya hoteli
- kufanya kazi maalumu za miradi na majukumu mengine kama ilivyopangwa
- kuhakikisha ukaguzi wa usalama unafanyika kila mwezi na wafanyakazi wamefundishwa ipasavyo